MWANAGENZI MTAFITI
Methali za Mwanagenzi
Methali za Mwanagenzi itakuwa sehemu maalumu ya kugundua methali za Kiswahili, maana zake na matumizi yake katika maisha ya jamii.
Tunachoandaa
Jukwaa hili limekusudiwa kuleta methali pamoja na maelezo ya maana, mifano ya matumizi na mafunzo yanayoweza kuchunguzwa. Bado halijazinduliwa; taarifa za uzinduzi zitaonekana hapa.
Chunguza methali kwa sasa
Unaweza kuanza na methali zinazohusishwa na vidahizo vya Kamusi ya Mwanagenzi. Mwongozo wa utafiti unaeleza namna ya kuandika methali na kuchunguza muktadha wake.