Android: Jifunze Ushairi

Je wewe ni mshairi chipukizi ambaye ungependa kuinua tajiriba yako ya utunzi? Je ungependa kujiburudisha kwa maswali ya kusisimua ya chemsha bongo kuhusu ushairi? Ama una azimio la kufanya utafiti kuhusu ushairi wa Kiswahili? Tuna jawabu!
Soma Zaidi Android: Jifunze Ushairi