Ushairi wa Mwanagenzi ni kifaa kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi, kifaa hiki pia huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.

Shukran kwa washairi wote waliochangia kwa mashairi yao. Haki-miliki itabaki kuwa ya mtu binafsi. Mashairi yote yamewekwa kwa lengo la kuelimisha, hivyo basi, huruhusiwi kutumia shairi au kazi yoyote nyingine bila ruhusa ya mtunzi mhusika.

© Kimani wa Mbogo

S.L.P 15231-00400, Nairobi, Kenya
Tovuti: www.mwanagenzi.com
Baruapepe: mwanagenzi@gmail.com
Rununu: +254 725 221472