Mwanagenzi Mtafiti

 Jifunze Uelimike

Karibu kwa tovuti ya Mwanagenzi Mtafiti. Ni tumaini letu kuwa blogu zetu zitakunufaisha kwa kukuelimisha na kukuburudisha.

Tufuate katika mtandao wa Telegram kwa mashairi kemkem: @MwanagenziMtafiti

Kusoma sana hasiti, ana ari mshindani,
Anaposoma haoti, ama ende vitandani,
Utukutu haufati, kutwa yu makitabani,
Mwanagenzi Mtafiti, hufaulu hatimani

- Kimani wa Mbogo

Nukuu za Leo

“Uongozi mbovu ni kama mzoga, una tabia ya kukaribisha mafisi na mainzi.”

— Mwalimu Nyerere

Soma Mashairi ya Kiswahili

Soma Mashairi ya Kiswahili

Soma mashairi ya Kiswahili kwa wingi kutoka kwa washairi mbalimbali. Tutazidi kuongeza mashairi ya kuelimisha, kufahamisha na kuburudisha tunapoyapokea.

Kuhusu Ushairi wa Kiswahili

Kuhusu Ushairi wa Kiswahili

Soma maana na historia ya ushairi. Uainishaji, uchambuzi, istilahi, uhuru wa mshairi, tamadhali za usemi na mengine mengi kuhusu Ushairi wa Kiswahili.

Tunga Shairi Lichapishwe

Tunga Shairi Lichapishwe

Tunga shairi lako la Kiswahili kwa ubunifu ukifuata arudhi za ushairi, ulitume kwetu, tulichapishe ili lisomwe na wengi wanaoitembelea tovuti hii kila uchao.

Uliza Mwanagenzi Ujibiwe

Uliza Mwanagenzi Ujibiwe

Tuma swali lako mtandaoni kwa lugha ya Kiswahili ili wengine wakujibu. Unaweza pia kujibu maswali ya wengine. Hapa utajifunza mengi kutoka kwa wengine.

Jifunze Kutunga Mashairi

Jifunze Kutunga Mashairi

Jiandikishe kwa darasa letu, uelekezwe hatua kwa hatua jinsi ya kutunga mashairi. Ni masomo yaliyoandaliwa kumfaa yeyote aliye na ari ya kutunga mashairi.

Duka La Mwanagenzi

Duka La Mwanagenzi

Kutoka kwa duka letu la mtandao, utanunua vitabu na vifaa mbalimbali vitakavyokusaidia kukuza ujuzi wako wa Ushairi. Usikose kulitembelea duka letu.

RSS Uliza Mwanagenzi

 • Toni ya Shairi
  mtu anawezaje kutambua toni
  Bthuranira
 • Misamiati ya Teknolojia
  Habari ndugu. Shuleni nilifunzwa kuwa Kiswahili ni lugha ambayo ilipokea maneno mengi kutoka lugha kadhaa zikiwemo Kiarabu, Kijerumani, na lugha za asili kwetu hapa Tanzani. Sasa swali langu ni: Haya maneno (hususani maneno ambayo ni ya kisasa yanayotumika katika teknolojia za kisasa) ambayo ni kama mapya yanatoka katika lugha gani? Aidha, ninaweza pata chapisho lolote […]
  Christopher Lameck
 • Tafsiri ya 'Remote control'
  Naomba kujua ‘Remote Control’ inaitwaje kwa lugha ya Kiswahili. 
  Lenny Omolo
 • Sayari za mfumo wa jua
  Ningependa kujua sayari zote kwa Kiswahili kama zinavyoandamana.
  Muchai
 • Maana ya Mathnawi
  Nieleze maana kamili kuhusu bahari ya ushairi inayoitwa mathnawi.
  John Musembi
 • Shairi ni nini?
  Naomba kujua maelezo mwafaka ya neno “Shairi”.
  Mwanagenzi

Makala Mapya (Blogu ya Mwanagenzi)

Wanavyosema Kuhusu Mwanagenzi Mtafiti

Naishi Burundi na mimi ni mpenzi sana wa mashairi. Natumia fulsa hii kukushukuru kwa msaada niloupata kupitia kwa blogu yako ambapo nilijifunza mengi yanayohusiana na sanaa ya ushairi. Bado naendelea kujifunza. Kwetu huku sanaa hiyo haipo na wala hatuisomi shuleni isipokuwa tu lugha nyingine kama Kifaransa na Kiingereza.
munezero
Munezero Prince
Burundi
Shukran kwa kazi njema mnayoendelea kufanya kwa kutumia blogu hizi. Nimeweza kusoma mashairi kemkem na makala mbalimbali kuhusu ushairi na hakika yamenisaidia pakubwa katika utafiti. Mashairi pia yametungwa washairi walio na ujuzi hivyo basi kumpa anayesoma uhondo wa kuburudisha. Jambo hili nimenifanya kupenda ushairi sana.
neema
Neema Muthoni
Nairobi

Ushairi wa MWANAGENZI

Soma mashairi kwa wingi kutoka kwa blogu ya "Ushairi wa Mwanagenzi". Mashairi yametungwa na washairi mbalimbali.

Blogu ya Mwanagenzi

Soma makala kama yanavyoongezwa kwenye blogu yetu. Makala yanahusu elimu, siasa na jamii. Tutazidi kuongeza makala mapya.

ULIZA MWANAGENZI

Uliza swali lako kwa lugha ya Kiswahili na ujibiwe na watumiaji wengine wa blogu ya "Uliza Mwanagenzi". Unaweza pia kujibu wengine.

Wasiliana Nasi

Tuandikie maoni au mapendekezo yako kuhusu blogu zetu za Mwanagenzi Mtafiti. Unaweza pia kutuma mashairi/makala yake ili tuyachapishe.

© Kimani wa Mbogo | S.L.P. 15231-00400, Nairobi, Kenya | msimamizi@mwanagenzi.com | +254 725 221 472